pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
MME: Ooh! Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo!
MKE: Unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea!
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenzi!
Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje??
Soma kuanzia chini kwenda juu.
Unatisha mkuu!
Nimecheka mpaka basi
binadamu ana hulka ya kukinai so usipokuwa makini hata ndoa unaikinai
Tamuu sana ukirudia mara mbilimbili wow😀
aliyesema watanzania wana IQ ndogo alimaanisha nini?
I laughed...
Sawa ila hili swala wee mgeni utayakuta tuu karibu!
Hahahahahaa pe.livinuu, kumbe na we ni msanii
Hahaha nimekukubali mkuuAmnaa bhana mkuu tabibumtaratibu inafikia tu mahali unafanya vitu kwa kuunganisha , matukio mawili tofauti...
Hapo ni suala la positivity na negativity..
Hahaha nimekukubali mkuu
kwa kifupi tunakubalianaHahahhh hata mimi nakukubaligi sana mkuu.