Kabla ya kupima DNA, kujua kundi la damu linaweza kusaidia kuhusu watoto

Tajiel Urioh

Member
Oct 1, 2011
44
9
Kama tujuavyo, makundi ya damu za wazazi ndio kutengeneza kundi la damu la mtoto atakayezaliwa.

Kwa mfano, Baba akiwa na kundi la damu AB, na Mama akawa na A, B, AB, au O hawezi kuwa na Mtoto wenye kundi la damu O, vile vile kwa wazazi wenye damu kundi O, watakuta na Watoto wenye damu kundi O tu.

Kupitia jedwali hili unaweza kujifunza na kuelewa zaidi ninachokizungumzia hapa.

just-your-type.jpg


Mada hii haina lengo la kuzua mtafaruku katika Familia ila kujenga ufahamu tu wa mambo

Nawasilisha.
 
Wachepukaji itabidi kigezo ni kumtafuta mwenye blood group sawa na ww,sio uzuri tena.
 
Wachepukaji itabidi kigezo ni kumtafuta mwenye blood group sawa na ww,sio uzuri tena.


Hapo gia ya kwanza ni kuuliza blood group, kabla ya mengine kufuata....wakifikiria stage watakuwa Wachepukaji Professional.
 
Back
Top Bottom