Kabla ya kuoana hakikisha mnapima yafuatayo.

Vijana wakiona wanaendana wafanye shake well before use ili Kama Kuna mwenye shida kila mtu ajikatae.
Ni stressfull kuanza kuhangaika na kutafuta watoto mkiwa ndani ya ndoa.
Mwingine unakuta ndio ujana wake kauchezea mpaka hafai.
Anafika kwenye ndoa anaanza kujifanya alikuwa mwema kumbe kaugua magonjwa ya zinaa Kama yote.
Wa kiume mpaka mirija haipitishi Tena sperm
Wa kike kashusha injini mpaka imejaa vumbi tu.
Nawapa pole wale ambao Ni naturally ndio imewakuta wako hivyo.
 
Muhimu kuliko zote hapo ni Akili,siku hizi tunaoana wendawazimu bila kujuaa!
Hilo lilikuwa miaka ya 80 na 90 huko.
Siku hizi Ni hela na tako kubwa.
Unafika kwenye familia yao unakuta zaidi ya nusu walishawahi ugua ugonjwa wa akili.
Wanao wakiwa mazezeta mnaanza kushinda kanisani.!!
Kuna principles wazee wetu walikuwa sahihi.
Walikuwa wanachunguza familia unayooa au kuolewa mpaka waijue vizuri
 
Kwa wanaume Cha kwanza kabla ya kuoa hakikisha mkeo mtarajiwa wazazi wake wanaishi pamoja au kama hawaishi pamoja iwe ni kifo ndo kimewatenganisha.

Kama mkeo mtarajiwa amekuzwa na mama ambaye alikua anapambana tu mwenyewe alishaachika miaka mingi jua tu hata huyo mkeo mtarajiwa ukioa hatakua na hofu yakuachana na ww🤷‍♂️ .

Take that
 
Back
Top Bottom