INAKUWA HIVYO HVYO KAMA MTOA MADA ALIVYOSEMA YAANI INAKUWA KINYUME CHAKENa ukiolewa na mwanaume aliyezalisha inakuwaje??
Tatizo wenzetu single mother uwa sumu Ila single father ni asali na Wala hatuwabagui .INAKUWA HIVYO HVYO KAMA MTOA MADA ALIVYOSEMA YAANI INAKUWA KINYUME CHAKE
kama nakuona na makeup yako ukijibu na kuchekaINAKUWA HIVYO HVYO KAMA MTOA MADA ALIVYOSEMA YAANI INAKUWA KINYUME CHAKE
Umejuaje best hahahaaaaaaaa umetabiiria haswaaaaa hahahaaaaaakama nakuona na makeup yako ukijibu na kucheka
nilipiga chabooo kwa mbaaaali nikakuona best yanguUmejuaje best hahahaaaaaaaa umetabiiria haswaaaaa hahahaaaaaa
Lazima amle aliyemzalisha...Na ukiolewa na mwanaume aliyezalisha inakuwaje??
Ukishahakikisha utapunguza nini boss ?Bibi yangu aliwahi niambia "Wazazi huwa hawaachani" hivyo unapooa mwanamke mwenye mtoto hakikisha kwanza baba wa mtoto yuko wapi!
Tatizo ni kwamba wanaume wanaficha jamani... Anakukuta binti kigoli unamwambia mie staki chochote hadi uende nyumbani... Anakubali na katika kufahamiana anakuambia ni bikra km wewe!!!!!the same applies kwa mwanaume mwenye motto
akina dada ambao hajaolewa walichunguze hili sana maanake ni sawa na kuolewa na mume wa mtu.
Hii nidharia (theory) nzuri lakini ngumu kutekeleza kwenye ulimwengu wa sasa.Bibi yangu aliwahi niambia "Wazazi huwa hawaachani" hivyo unapooa mwanamke mwenye mtoto hakikisha kwanza baba wa mtoto yuko wapi!
the same applies kwa mwanaume mwenye motto
akina dada ambao hajaolewa walichunguze hili sana maanake ni sawa na kuolewa na mume wa mtu.