Kabla ya kuoa kwanza tuchunguze

Kabla ya kuoa kwanza tuchunguze

Sidhani kama kuna ukweli hapo na hata kama upo ni kwa asilimia ndogo.

Hivyo single mother hawana haki ya kuolewa. Mmeshazowea kuwapa hila, hayo mnayoyasema yanategemea na akili ya mtu.
Wanyanyasaji hao, hawana lolote.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Ni tabia tu ya mtu. Unaweza kuoa/kuolewa na mtu ambaye aliishazalisha/zalishwa bado tabia yake ikawa mbaya.
 
Back
Top Bottom