masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,823
- 16,890
kuna watu humu ni wavivu wa kufikiri, hivi na wanaume ambao wake zao ni marais wa nchi wawakimbie wake zao? unajuwa kama Angel Markel wa Germany ni lazima ampikie mumewe kabla ya kwenda ofisi?
John mnyika kimsingi ni form six je atababaishwa na mwanamke mwenye masters? you can't change the nature mwanaume ndio kichwa ndani ya nyumba full stop.
inferiority complex zitawauwa bure msiwaogope wanawake hawa ni wasaidizi wetu by nature.
tatizo una urgue kama mwanamme kwa boys.
sio mke huyo blaza!
mkimbie fasta
hafai kwa matumizi ya binadamu!
lol!
sijakuelewa, ni kwa nini unaamini mwanamke aliyekuzidi vyeti hafai?
kile kipindi cha boys boys cha mwisho mwampamba hivi kipogu?
sio mke huyo blaza!
mkimbie fasta
hafai kwa matumizi ya binadamu!
lol!
sasa ikitokea wewe ambae unapata elfu 2 haupati tena labda tuseme unapata 500 na mkeo anapata zaidi ya elfu 1 ya mwanzo je utamwacha?
sa si ndio unakuwa na hela kumzidiHa ha haa wakati mie blaza wako kula kulala ndio sitaki hata kumsikia yaani tangu umemuoa yeye status inayoongezeka ni mama tu???!!
Hata genge ka nyanya hanalo???!!
sa si ndio unakuwa na hela kumzidi
anakuwa anakuomba mpk hela ya teitei
akitaka kuangalia superspot mpk uje umbadilishie remote
akitaka kusoma aishie kusoma ufundi cherehani kanisani kwa sista honoratha.
huyo ndo mke blaza!
Ataenda kufanya fitna kazini afukuzwe!!!!
Mimi nimefanya uchunguzi kuhusu elimu ni kwamba bongo walioelimika ni wachache sana kati wengi waliopata nafasi ya kwenda shule.
Halafu unaposema mtu amekuzidi elimu ina maana gani? profesa wa UDSM aliyebobea kwenye uchumi anakuwa ni mtu aliyekuzidi elimu ktk masuala ya uchumi tu hata kama na wewe ni profesa ktk fani ya sheria. huyohuyo profesa gari yake inapozima gafla itabidi a atafute fundi gari kwani hana elimu ya ufundi gari, sasa hapo unaposema ni msomi una maana gani nje ya taaluma yake?

inaelekea huyu anaweza kufanya hivyo.......hataki kuzidiwa kipato........
Akikua ataacha!!!