Kabla ya kuwapa watu ID ni lazima kuwe na utaratibu wa kuwa na anwani. ID bila anwani ni kama picha tu. Hapa USA kwa mfano tuna anwani za nyumbani kwenye ID na kama hiyo haiwezekani basi waweke ZIP Code. Nilisikia miaka miwili iliyopita serikali ya German iliwapeleka wafanyakazi wa posta kusomea jinsi ya kuweka ZIP code Tanzania. Ni muhimu kwa ID kuonyesha unaishi wapi ili ziweze kutumika kwenye vitu vingine vya maendeleo kama Mikopo ya Bank, Statistics, Insuarance, education na security. Sasa Tanzania wanataka kuweka ID bila anwani itakuwa ni uwekezaji mbovu.
Mkuu sijakuelewa vizuri.
Kijijini kwetu hatuna mitaa na njia zetu hazina majina na la zaidi nyumba zetu hazina namba. Hata hivyo tunajuana nani hanaishi wapi.
Muhimu kwa vitambulisho ni kuunganisha permanently personal code na mtu. Binadamu anaahama hivyo anuani ya mtu haitakiwi kuwa na haina sababu ya kuwa permanent. Nafikiri ungesema ni muhimu kwa serikari hasa za mitaa kujua wananchi wanaishi wapi maana hili ni la msaada sana katika mipango ya ya maendeleo.
Nimepitia mtandaoni na nikagundua wengine wamejenga vitambulisho vyao hivi
Finland
Anna Suomalainen's personal identity code is 131052-308T.
The date of birth – 131052 – tells us the day, month and year of her birth.
The sign after the date of birth tells us in which century she was born. In Anna's case the sign is a hyphen (-) as she was born in the 1900s. Those born in the 1800s have a plus (+) and those born in the 2000s have the letter A. The individual number, which for Anna is 308, distinguishes persons with the same date of birth from each other. Men have an odd number and women an even number. Practically all individual numbers issued are within the range of 002 to 899.
Danmark
The register was established in 1968 by combining information from all municipal civil registers of Denmark into one. It is a ten-digit number with the format DDMMYY-SSSS, where DDMMYY is the date of birth and SSSS is a sequence number. The first digit of the sequence number encodes the century of birth (so that centenarians are distinguished from infants), and the last digit of the sequence number is odd for males and even for females.
Sweden
The personal identity number consists of 10
digits and a
hyphen. The first six correspond to the person's
birthday, in YYMMDD form. They are followed by a hyphen.
People over the age of 100 replace the hyphen with a
plus sign. The seventh through ninth are a
serial number. An
odd ninth number is assigned to males and an
even ninth number is assigned to females. Some county authorities, such as
Stockholm, and some banks, have started using 12 digit numbers to allow YYYYMMDD. This format is also used on some
Swedish ID-cards[
clarification needed] and on the Swedish
European Health Insurance Cards but not on state-issued identity documents.
Norway
The
Norwegian eleven digit
birth number is assigned at birth or registration with the
National Population Register. The register is maintained by the
Norwegian Tax Office. It is composed of the date of birth (DDMMYY), a three digit
individual number, and two
check digits. The individual number and the check digits are collectively known as the
personal number.
Pakistan
Until, 2001 NIC numbers were 11 digits long. In 2001-2002, the National Database Registration Authority (NADRA), started issuing 13-digit NIC numbers along with their new biometric ID cards. The first 5 digits are based on the applicants locality, the next 7 are serial numbers, and the last digit is a check digit. The last digit also indicates the gender of the applicant; an even number indicating a Female and an odd number indicating a Male
Sijui ya kwetu itakuwa na format ipi - au bado ni national security issue.