Kabla na Baada ya Kuhama CUF


Saa chache Baadae: Zainab Allmas akitangaza kuhama CUF na kwenda CHADEMA; Tafakari..........
 
hahahahaha
pombe huwa inamfanya mtu aonyeshe hisia zake za kweli.....
 
Unashangaa nini? Wanasiasa wetu hawa ni walevi wa hovyo sana wa kila kitu mpaka "k"! (Migulu, Silaa, Dhaifu na yule aliyeibiwa smg Moro-nimemsahau) ndio maana nchi imekwama.
 
Unashangaa nini? Wanasiasa wetu hawa ni walevi wa hovyo sana wa kila kitu mpaka "k"! (Migulu, Silaa, Dhaifu na yule aliyeibiwa smg Moro-nimemsahau) ndio maana nchi imekwama.
inabidi wenye nchi tuchukue nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…