Kabla jogoo hajawika,Vihelehele wote nje!

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Ndiyo.. Ccm hawana urafiki zaidi unafki.. Nakwambia kina Sitta, siku zao za uwaziri zinahesabika. Si uwaziri tu,hata uccm!. Kimsingi endapo kikwete ataridhia malipo ya matapeli Dowans(ofcourse kisha ridhia,vinginevyo kusingekuwa na pilikapilka za kujihalalisha) kimsingi sitta,mwakyembe wanapaswa wajiuzuru au awafukuze..kinyume chake, kikwete asiporidhia malipo itapbidi ngeleja, werema, na wengineo waliopaza sauti kusupport malipo,wajiuzuru au wapigwe chini..ambayo hii ni kiini macho..haiwezi tokea kwa serikali ya mkwere.. Point.. Kabla jogoo hajawika kina sitta watapigwa chini..
 
Mkuu suala la kujiuzuru viongozi nchi hii ni kama ndoto, ni wagumu hata wafanye madudu vipi. Huyo ngeleja suala la kupanda bei ya umeme, mgawo wa umeme, dowans, kashfa za madini na migodi na bado anadunda tena kwa kejeli: "Mnadhani nikijiuzuru ndo itakuwa solution ya hayo matatizo"
Nadhani nguvu ya umma ndio inayohitajika kuwaondoa hawa watu.
 
Dah!!! Kujiuzulu labda hadi sijui iweje ila all in all their days are numbered
 
Mkuu suala la kujiuzuru viongozi nchi hii ni kama ndoto, ni wagumu hata wafanye madudu vipi. Huyo ngeleja suala la kupanda bei ya umeme, mgawo wa umeme, dowans, kashfa za madini na migodi na bado anadunda tena kwa kejeli: "Mnadhani nikijiuzuru ndo itakuwa solution ya hayo matatizo"
Nadhani nguvu ya umma ndio inayohitajika kuwaondoa hawa watu.

nikweli, lakini nakwambia, uwezekano mkubwa kutokea ni huu,kujiuzurur si desturi ya serikali ya viongozi wa ktz,but, nakwambia kwakuanzia,6 atapewa kalipio kali na muda si mrefu atatimliwa uwaziri kwa kujibishana na msimamo uliotukuka wa Ccm...na hapo ngeleja &co wataibuka mashujaa na Dowans kulipwa haki yao..
 
Kujiuzulu sio suluhisho hata kidogo mkuu,kinachotakiwa hapa ni uwajibikaji tu.
 
Back
Top Bottom