Kabla hujavaa, angalia shape yako.

Sijui ni ujinga wangu binafsi au ulimbukeni wangu wa haya mambo!!? Hivi Makonda kwa hadhi ya madaraka aliyonayo, ni wa kwenda msibani akiwa kavaa hivyo!?
Alitaka awe center of attention.
 
Ukiona mtu anashuparia kitu kama madawa ya kulevya, mashoga, wasagaji, ujue yeye ndo mteja mkubwa. Fuatilia kesi nyingi ulaya na marekani wale wanaowaua gays na lesbians, ni wale ambao hawapendi kujikubali kwamba na wao wako vile. Wanawachukua wanafanya nao mapenzi halafu wanawaua. Malizia sentensi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…