Kabla hawajatekwa wanaacha ujumbešŸ˜”

Kabla hawajatekwa wanaacha ujumbešŸ˜”

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,532
Wapo wengi waliopotezwa na kuuliwa kabisa ila wengi waliacha ujumbe wa kishujaa.

Hawa ni moja ya tuliowafahamu:
SOKA: ā€œikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.ā€

MDUDE: ā€œKama kuna tuhuma, wanipigie niende… kwa nini kunivizia?ā€

BUYOBE: ā€œnikipotea ghafla, kosa langu litakuwa kutumia haki yangu ya uhuru wa kujielezaā€

POLEPOLE ā€œMi siogopi hata nikipotezwa watakao baki watabaki na niloyafunua
 
Aiseee! Mdude mzee wa kuliamsha dude wamekukosea sana mbogamboga mwenetu.
 
Back
Top Bottom