Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,804
- 167,985
- Thread starter
-
- #101
na uwoka lepa mpaka umalaa ugimbi......... Kweli wa kunyumba, bombiiiii nyumbiii.......... Nine nani momomo......tehe.tehe........
wanapenda kupiga wake zao sana...na wake zao wasipopigwa wanalalamika kwamba hawapendwi.Tunaokea mkoa mmoja wa mpakani
Wajaluo wa wapi hawa unaowazungumzia? Wa Kenya nadhani walishiriki kwenye mauaji ya visasi/vinyongo!Unaweza kuwa mkatili bila kinyongo?
Wajaluo ni wajaluo tu!
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?

Ur almost ma blaza, women in my tribe r known to be very soft spoken, gentle, kind, beautiful, with killer legs and are really smart. Soo proud of ma tribe!, wouldn't ask for anything more or less!
kila mtu kwetu jina lake lazima lianzie na shehe...
Hujifanya eti mapenzi ndiko alikoanzia...