Kabila la Wakutu (kutoka Morogoro)

Yah Wamwera hata nina jamaa zangu wametokana na hii jamii.

Hao wakutu nimepotea kabisa sijawahi kuwasikia toka nimepata ufahamu hata sikumbuki kuwasoma shule.Inase
Sema hujui tu mzee, hata Wazaramo wanatokana na Wakutu.
Yaani Wakutu waliotoka maendo yao ya asili na kuhamia kwingine wakawa wanaambiwa Wamezarama yaani wamehama.
Neno Kuzarama ndio limezaa "Wazaramo"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…