G Godwishes JF-Expert Member Aug 26, 2011 640 165 Oct 16, 2012 #1 Wakuu,Poleni na mishemishe za kutafta Mkate wa kila siku.Naomba kuelimishwa,Kabila gani TZ,linajitahidi kuongea lugha ya Taifa kwa ufasaha kidogo na Lugha gani ilitaka ifanywe lugha ya Taifa.(Si chochei Ukabila.Pls niwe quoted)
Wakuu,Poleni na mishemishe za kutafta Mkate wa kila siku.Naomba kuelimishwa,Kabila gani TZ,linajitahidi kuongea lugha ya Taifa kwa ufasaha kidogo na Lugha gani ilitaka ifanywe lugha ya Taifa.(Si chochei Ukabila.Pls niwe quoted)