UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,315
hamna binadamu asiye na asili, au unamaanisha atakuwa ........?
Naogopa finger pointing!!
hamna binadamu asiye na asili, au unamaanisha atakuwa ........?
JALUO ya KOWAK......
Omera ise tuo??? Shika adabu weye..wajaluo unatujua wewe????Shika adabu we mtoto, Jaluo unawajua wewe
![]()
Huyu hapa Mjaluo
jamani huyu naye ni binadamu na anastahili kusifiwa na kuheshimiwa.hakuna binadamu aliyekamilika hebu na wewe hapo ulipo jiangalie kama huna kasoro
mwongo, mbona sioni migomba karibu?
huyu ni mnyakyusa wa kyela huko..
Hata akiwa wa kwetu lakini ana mpenzi wake anayemwona Handsome! Kila sheitwani na mbuyu wake
Aaaah wapi!
Jamaa wa Uru Kishimundu huyu!!!
Hata udongo si unauona?