Kabila GANI Huyu?

Du! Hivyo vitafunio vimewahi kuona tusipesti kweli tangu vizaliwe?
 
jamani huyu naye ni binadamu na anastahili kusifiwa na kuheshimiwa.hakuna binadamu aliyekamilika hebu na wewe hapo ulipo jiangalie kama huna kasoro
 
Mtu wa Kuubwaga Moyo, kule kwa kina kikwite.
 
Msukuma namjua anaitwa kipezanzara mwanamagumba ng'oro.
 

Eheeee wale Wadada wanaotafuta Mume wa ndoa huyu anawafaa. Muache kuangaika jamaa yupo Tayari kwa ndoa,kwa taarifa zaid wasilianeni na Mbuzi Mzee. Copy To Mbuzi Mzee <!-- google_ad_section_end -->
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…