Kabati lenye material ya kitambaa

Usiombe ukae nyumba yenye panya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naweza tupia picha zilivyo nimenunua wiki tatu imepita tayari limeharibika
 
Nipo kazn nikirudi nyumbani napiga natupia
 
Anachokisema Mkuu hii sasa kali ni ukweli kabisa.Hizo kabati ukiziona kwa picha zinavutia ile ukianza tumia wiki mbili nyingii inaharibika kabisa
 
jamana hizo kabati sio za kununua useme unaweka home...hizi ni kama vile umesafiri maybe,ndo unakanunua mana kanakunjika...na hazijetengezwa kubeba mavitu mazito...nguo chache tu(kama za safarin)
 
Nipo kazn nikirudi nyumbani napiga natupia

Kaka mbona hukutupia picha.
Nataka ninunue kabati kama hii, unanishauri aje kaka. Maana kabati ya mbao zinaanzia laki tatu huko na mie mfukoni nina laki tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…