Kabati kubwa bei ya kutupa

Kabati kubwa bei ya kutupa

mtwa kinte

Senior Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
144
Reaction score
260
Kabati kubwa la kuchonga linauzwa, mbao ni ngumu, lina milango mitatu. Linapatikana Kijitonyama Alimaua polisi. Bei ni 320,000
Subpost%202%20-%20KABATI%20LA%20MBAO%20LINAUZWA%20BADO%20JIPYA%20MBAO%20ZAKE%20NI%20IMARA%20NA...jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milango mitatu yanini nyumba zenyewe za kupanga hizi?

Sent using my NOKIA torch
 
Back
Top Bottom