kabakaba tunakuomba,unatuumiza!

kabakaba tunakuomba,unatuumiza!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
weee kabakaba tunakuomba badilisha hiyo avatar yako inatuumiza na kutunyanyasa kijinsia watoto wa kiume.Wenzio tunashindwa kuchangia mada vizuri humu kwa sababu ya avatar yako,tunaloose concetration.Wengine humu imani yao ni'ukitamani umezini' sheria zenu za nchi zinatukataza hata kuwabinyia kijicho lakini mambo mnayoyafany sio..:A S embarassed:
 
M-PM Kama anakuumiza;ila usitusemee bana!!!!
Kama umeanguka si unyoshe maelezo tu bana;sio unazungukazunguka!!!
 
Kabakabana Mi mwenyewe limoyo limekudondokea, nitext +255712984560
 
ninaye mzungumzia ni wewe hapo kabakabana honi jins ulivovovaa,au unazuga 2!
 
yahoo umevumiliaaaaa,sasa yamekushinda umeona bora uyaweke hadharani,ebu eleza vizuri ni nini kinachokuumiza hapo..labda unaweza ukapata dawa ya kutuliza maumivu..........................tehe tehe!!!
 
weee kabakaba tunakuomba badilisha hiyo avatar yako inatuumiza na kutunyanyasa kijinsia watoto wa kiume.Wenzio tunashindwa kuchangia mada vizuri humu kwa sababu ya avatar yako,tunaloose concetration.Wengine humu imani yao ni'ukitamani umezini' sheria zenu za nchi zinatukataza hata kuwabinyia kijicho lakini mambo mnayoyafany sio..:A S embarassed:

Wamekutuma uwasemee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom