Juzi nimeunga ya 750 nikaja kumaliza jana speed ya download kwa dashboard ni 122-230 KBps nimepakua 4gb bila chenga.Kwani wanaachia speed mwanzo mwisho,au inakuwaje boss?
Maana mi naona hii inafaa zaidi kwenye phones kuliko pc.
Jaribu kusurf na kudownload bila ya kufungua youtube au stream yoyote then lete feedbacktatizo la tigo ni kwamba wanalimi mb za kudownload...kama ile megaboksi ukidownload files za 50mb wanakata ability ya kudownload ila unakuwa unasurf tu
Urongooooo