Junior Hamis JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 354 Reaction score 294 Sep 27, 2017 #1 kwa wale wapenda game la fifa siku ya ijumaa game la fifa18 litaanza kupatikana officially katika device tofauti tofauti kama game consoles, pc, phone etc. nini maoni yako baada ya kuangalia demo ya hili game unategemea nini?
kwa wale wapenda game la fifa siku ya ijumaa game la fifa18 litaanza kupatikana officially katika device tofauti tofauti kama game consoles, pc, phone etc. nini maoni yako baada ya kuangalia demo ya hili game unategemea nini?