Kaa mbali na plan B ya mwanamke

Plan B iliyosahihi ni puli tuuu....hayao mambo ya kukariri achana nayo....mwanamke ni yule yule, jana leo na hata milelel.....
 
Mengine ni kujiumiza kichwa tuu
 
Mkuu wewe ni mkali umeongea ukweli mtupu hujaacha kitu hapo. Kwanza mwanamke aliyekupenda akikuona tu anaridhika, ukiongea naye tu anaridhika ukikaa naye karibu au kumshika ndio kabisa unammaliza, mimi huwa nashangaa humu mtu anasema mpenzi wangu aniridhishi hii upelekea vijana kuanza kutumia madawa ambaye yanawafanya kuwa. victim.
 
Shortly mapenzi hayana formula.
Hakuna anaemjua mwanamke hakuwai kuwepo,hayupo na hatakuepo isipokuwa yeye mwenyewe na muumba wake tu.Usipende kupita kiasi.Umempenda mwanamke akizingua piga chini chukua mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…