Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
Ukiwa mtu wa hesabu unaweza kupiga hesabu hata walio ajiliwa kwenye makampuni na wana digree pia wanalipwa mshahala huu huu.. wengine chini ya huu.. hebu angalia mtu hyu atatumia zaidi ya elfu tano sasa nikimlipa na hyo 4 jumla bei gani???? Watu wanafanya kazi mashirika makubwa kama peps na mengine wanalipwa 7000.. na chakula nauli kwako.....tatizo letu wabongo sometimes tunahitaji kupata zaidi ya kile tunacho stahili...ndio maana wachina wanawaleta wachina wenzao hata kwenye kazi ya kawaidaaa hata sio ya kusomea....elfu 4 per day seriously?afu mtu aishije hapo dar sasa?
Nimeficha nini mkuu hata hivyo nimeweka namba kama hujaelewa nicheki. MkuuKua mwazi kk
Kwa nini na aje uone....ila heading yako inaonesha wazi kuwa hutowapa kamshahara hako mkuu
Karibu mkuu umemaliza shule ya aje???piga number hyo njoo tupige mzigo....OK fine nipo hapa vingunguti kaka nielekeze nije.maana nipo tu nimemaliza shule sina kazi
elfu 4 per day seriously?afu mtu aishije hapo dar sasa?
Sasa si bora huyu anayelipwa elfu nne lakini kafanya kazi ya mikono yake na kavuja jasho kwa kazi halali.elfu 4 per day seriously?afu mtu aishije hapo dar sasa?