Najaribu kuunga doti.....hili ni jukwaa la matangazo madogo madogo, jamaa kaweka heading ya "K" nadhani wakubwa wenzangu mtakua mmenielewa hapa....alafu ndani kaweka picha msichana....alafu akasema anampenda dogo wake!!! mleta mada unataka kutuonyesha nini hapa???
NB: Naimani utakua umekosea kupost au hujui nini maana ya JF kwa umri wako ulio nao hapa jukwaani!!! kama umekosea nakushauri uiondoe hiyo picha hapo au kama umekusudia acha tuendelee kuona tangazo lako