Mwitongo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2009
- 312
- 362
Jeshi la Wananchi wa Tanzania limezindua Operesheni Tokomeza inayolenga kuwamaliza majangili katika mapori ya akiba, mapori tengefu na hifadhi za taifa. Katika Operesheni hiyo, tayari Mwenyekiti wa CCM Kata ya Makuyuni, Monduli mkoani Arusha, Bakari Salim (Mpemba) amekamatwa akiwa na kilo 40 za pembe za ndovu.
Chanzo: Gazeti Jamhuri la leo
Chanzo: Gazeti Jamhuri la leo