Ni kweli Jeshi letu pendwa linaaminiwa sana na wananchi wengi....shida wanakuja mikono mitupu kwepi hatuna bifaa uokozi ? Badic ones ? Kuna aibu sana naionaas hapoo kwa nini hatujifunzi ?? Pesa wanapiga vikao na semina elekeziiiKwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.
Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.
Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Bubu mbona unaongea hovyo na weww..Usije kushangaa kukuta leo hii mtu katekwa pamoja na kwamba kuna maafa lakini mingine iko busy kuteka wenzao.
kinachoyaponza majeshi mengine ni rushwaKwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.
Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.
Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
polisi naye ni kama mhalifu tuPolisi watanzania Wana laana. Unampa taarifa ya uhalifu halafu anakuomba pesa.
Wachache sana wanaweza kuelewa hii point.Kwasababu hawana direct mission na raia, hata wao mngewachukia vibaya sana kama mnavyowachukia Polisi.
Watu tupo katika majozi alafu unaamua tu kutuchekesha 😂😂😂😂😂umeeleza vizur mno gentleman,
epuka kuvaa kijeshi ikiwa wewe ni raia ili tupendane zaidi 🐒
Ushasema JWTZ yani Jeshi la Wananchi tanzania lazima lipendewe sababu sisi wananchi wenzaoKwa sababu ya direct mission zao za kukutana na raia ndiyo walitakiwa wapendwe badala ya kuchukiwa.
Kukutana na raia ndiyoo waue, walambe rushwa, wabambikize watu kesi n.k?
Angekua anachukiwa mmoja mmoja mmoja hapo sawa, lakini kitendo cha kuchukiwa Jeshi zima hiyo ni kasoro kubwa.
Njia pekee ya kupendwa ni wao kuacha kusimamia sheria iliyotungwa ili ikubaneKwa sababu ya direct mission zao za kukutana na raia ndiyo walitakiwa wapendwe badala ya kuchukiwa.
Kukutana na raia ndiyoo waue, walambe rushwa, wabambikize watu kesi n.k?
Angekua anachukiwa mmoja mmoja mmoja hapo sawa, lakini kitendo cha kuchukiwa Jeshi zima hiyo ni kasoro kubwa.
Hilo nenoKwasababu hawana direct mission na raia, hata wao mngewachukia vibaya sana kama mnavyowachukia Polisi.
Safi kabisaJWTZ ✍️✍️
umeamua kucheka tu gentleman bila kujizuia,Watu tupo katika majozi alafu unaamua tu kutuchekesha 😂😂😂😂😂
Amja onekana kwa wingi kama siku ya maandamano mna ogopa kupigana na gorofaJiangalie mkuu sisi sio machoko...
Sana kabisa na MUNGU azidi kuwabariki JWTZ daima.Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.
Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.
Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Naona kama una tunafikia bana sisi na wanajeshi wetu..umeamua kucheka tu gentleman bila kujizuia,
mie nimetoa angalizo la upendo tu, kwa raia na ndugu na waTanzania wenzangu 🐒