JWTZ walalamikiwa kunyanyasa wananchi Ngara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JWTZ walalamikiwa kunyanyasa wananchi Ngara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TinyMonster, Aug 2, 2011.

 1. TinyMonster

  TinyMonster JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Askari wa jeshi la wananchi JWTZ wilayani Ngara wanadaiwa kuwanyanyasa wananchi wa wilaya hiyo. Inadaiwa wanajeshi hao wamekuwa wakiwanyanyasa wananchi hao kwa kigezo cha kuwaita wanyarwanda. Mwezi uliopita Waziri wa Mambo ya ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha baada ya kutembelea wilaya hiyo na kujionea mgogoro uliokuwepo kati ya wakulima wa wilayani humo na wafugaji waliovamia vijiji vilivyo mpakani wakitokea nchini Rwanda na kusababisha vifo vya wakulima kadhaa liamuru jeshi la wananchi kufanya safisha safisha katika mapori ya wilaya hiyo ambako kunadaiwa wafugaji hao wamekimbilia, lakini matokeo yake wanajeshi hao wamekuwa wakienda vijijini na kuwakamata wananchi wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura na kuwaita wakimbi na ili kuwaachia inabidi watoe kitu kidogo. Pia wamekuwa wakikamata ng’ombe wa wafugaji wa wilayani humo na kulazimisha wananchi hao kutoa shilingi 50,000 kwa kila ng’ombe na wanaposhindwa inadaiwa wanawashikilia na kuwauza.  Sasa wanajamvi ninachojiuliza, Hawa ndugu zetu waliopewa kazi ya kulinda mipaka yetu kama wanaanza kufanya madudu tuliyozoea kuyaona kwa jeshi la Polisi.. hivi tutakuwa wageni wa nani nchi hii?
   
 2. j

  jonasadam Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanafanya mazoezi, chadema si wamevaa kombati bwana? Mpaka kieleweke. Kazeni buti jw,. Nchi ni yenu
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  naona una expose ujinga wako
   
 4. j

  jonasadam Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjinga ni wewe usiejua wenye nguvu ni nani, eulikulia kijijini na kusomeshwa na pesa za bodi na kisha unatuhumu serikali iliyokupa fursa hiyo kwa mikopo hiyo, bad manners!
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  du.... Hujui hata unaloliongea :bange: limekuharibu huko nyuma hukuwa hivyo
   
Loading...