comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,521
- 17,511
Kwasasa nchi imefunguka, Mama ndio kama mungu wetu, ama hakika atukuzwe mtakatifu, mwokozi, mh. Daktari samiaTulieni nchi ipo salama na mama ameiponya nchi kutoka kwa muuaji JPM π tangu mama amekuwa rais sijawahi kuona kitendo chochote cha utekaji wala uvunjifu wa katiba.
JPM alitukosea sana, aliteka watu mno na sasa mambo ni mazuri chini ya mama shupavu. π
Sio taharuki ndio uhalisiaHii sasa taharuki ujue.Tarehe 29 msipotoka mjiandae kuishi kama digi digi miaka yake mitano(japo hawezi kuimaliza yote)
2025 mama apite bila kupingwa, ameiponya nchi kutoka kwa dikteka.Kwasasa nchi imefunguka, Mama ndio kama mungu wetu, ama hakika atukuzwe mtakatifu, mwokozi, mh. Daktari samia
Ama hakika samia ndio mwokozi wa maisha yetu, nchi imetulia sanaaaa, kipindi cha jpm kibiti palikua panaitwa Ukanda wa gaza! Lakin kwasasa kibiti watu wanalima mihogo na mananasi yani amani imetawala, ama hakika nchi za africa na za mashariki ya kati ziige mfano wa raisi wa tanzania, ameiponya nchi, mi5 tena kwa mh,daktari,raisi, amiri jeshi mkuu wa taifa letu tukufu.2025 mama apite bila kupingwa, ameiponya nchi kutoka kwa dikteka.
Sasa hv kila mwananchi anaogelea kwenye amani, hakuna utekaji, mauaji kama ilivyokuwa kwa JPM π₯
JPM alisema tutamkumbuka kwa mazuri, Ila yule dikteta hakuna na hata moja zuri π mama ndie kimbilio letu wananchi
Kabsa mkuu, hata wale watembea kwa miguu wanatembea polepole kwa amani bila kuhofia usalama wa maisha yao barabarani πͺAma hakika samia ndio mwokozi wa maisha yetu, nchi imetulia sanaaaa, kipindi cha jpm kibiti palikua panaitwa Ukanda wa gaza! Lakin kwasasa kibiti watu wanalima mihogo na mananasi yani amani imetawala, ama hakika nchi za africa na za mashariki ya kati ziige mfano wa raisi wa tanzania, ameiponya nchi, mi5 tena kwa mh,daktari,raisi, amiri jeshi mkuu wa taifa letu tukufu.
Amani ya mungu iwe juu yake.Kabsa mkuu, hata wale watembea kwa miguu wanatembea polepole kwa amani bila kuhofia usalama wa maisha yao barabarani πͺ
Matusi ganiWrite your reply...acheni matusi la sivyo drones wapo active
Key indicators showing Sub-Saharan Africa's low educational attainment:
Duh,Leo nimeona watoto wa3 wenye umri chini ya miaka 23 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha (wametekwa).
Awezi ashawekwa mikono ya Wala asaliAfande CDF anatakiwa achukue hatua haraka iwezekanavyo ili kuirejesha nchi katika misingi sahihi. Maana wahuni siyo watu wazuri hata kidogo.
Jpm ndio muanzilishi na muasisi wa matendo ya utekaji, Ben saa8, azory, kanguye etcTulieni nchi ipo salama na mama ameiponya nchi kutoka kwa muuaji JPM π tangu mama amekuwa rais sijawahi kuona kitendo chochote cha utekaji wala uvunjifu wa katiba.
JPM alitukosea sana, aliteka watu mno na sasa mambo ni mazuri chini ya mama shupavu. π
That's why some of us are living in the western world, our kids are getting the best education.Key indicators showing Sub-Saharan Africa's low educational attainment:
- Lowest youth literacy rate:
Sub-Saharan Africa has the lowest youth literacy rate globally, at 72%, compared to other regions which are often above 90%.
- High rates of children out of school:
Over one-fifth of primary-age children and nearly 60% of youth aged 15β17 are not enrolled in school, and these numbers are increasing in some areas.
- Significant education financing gap:
The region faces an annual education financing gap of approximately $70 billion, highlighting a major lack of investment in the sector.
- Lack of infrastructure:
Many schools lack basic necessities; for example, less than one-third of primary schools in at least 19 countries lack access to electricity.
- Highest number of illiterate adults:
Over 75% of the world's illiterate adults live in South Asia, West Asia, and Sub-Saharan Africa combined. The region also has the largest out-of-school populatio