JWTZ Professions

JWTZ Professions

saraka

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
30
Reaction score
3
jAMANI WADAU WENYE INFORMATION KUHUSU AJIRA JWTZ KWA PROFESSIONS ATUJUZE<br><br>
 
Tarajio Aprili, lakini anza ufatiliaji kwa mshauri wa mgambo wilaya; kuanzia Februali !

JIHADHARI NA MATAPELI WA AJIRA.
 
Tarajio Aprili, lakini anza ufatiliaji kwa mshauri wa mgambo wilaya; kuanzia Februali !

JIHADHARI NA MATAPELI WA AJIRA.

Una uhakika na izo taarifa zako au unakisia
 
Unaanzia jkt unalimaa sana ndo uingie jw kisha kuna usahili za ndani kwa wanajeshi walioko tayari jeshini ukishinda ndo unaenda kusomea uofisa wa jeshi,
 
We Profeshen halafu unataka ajira JW?Sijakuelewa,si ujiajiri kwa kufanya kazi za profesheno yako!
 
We Profeshen halafu unataka ajira JW?Sijakuelewa,si ujiajiri kwa kufanya kazi za profesheno yako!

mkuu iv unafkir kila mtu anakipaj cha kujiajir! na je wote tukijiajir si itakua shda tena! watanzania toka enz mababu tushazoea spoonfeeding, kwenye kilimo rainfed, entrepreneur tunayojifunza ni kwa ajil ya kupata gpa 4.9 and not otherwise
 
Solution...gt?
 
muda utajibu;ila
usitoe rushwa kuingia jwtz

Usisambaze taarifa usiokuwa na uhakika nazo mkuu....afisa yeyote wa jwtz ataekuomba rushwa toa taarifa jesh litamshughulikia
 
mkuu iv unafkir kila mtu anakipaj cha kujiajir! na je wote tukijiajir si itakua shda tena! watanzania toka enz mababu tushazoea spoonfeeding, kwenye kilimo rainfed, entrepreneur tunayojifunza ni kwa ajil ya kupata gpa 4.9 and not otherwise

Sio utani mkuu, kwanza hata mahakamani vigezo vya dhamana utasikia in some cases wanatakiwa wadhamini watumishi wa umma. Ajira heshma bwana coz hata hao waajiriwa wamejiajiri nao.
 
Ili uwezo kuajiriwa Jwtz lazima uwe mjeda vinginevyo labda jesh likuhitaji na likikuhitaji unaenda hata kama huna vigezo unapigwa msasa kidogo then unaingia job na hii ni kwa wale walio na taaluma nyet. Vinginevyo inabidi utafute nafas ya kuingia kule uanze koz kama kuruta mpaka hapo utakapoajiriwa Tpdf ndio utoe vyet vyako ili uwezo kuajiriwa ktk fan yako na nachojua jkt wanaingia hii januar tafuta nafas fasta kama una nia kwel
 
Back
Top Bottom