JWTZ nako kunahitajika reforms

Ndo nyie juzi mliimba kulisifu JWTZ kuwa linalinda raia haliui watu!! Ndio nyie Leo mnawafichia uhalifu hao JWTZ kwa kueneza propaganda za jeshi la Uganda sijui wahuni!

Propaganda zenu za kitoto kwa kiasi kikubwa sana zimechangia haya mauaji binafsi siyafurahii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ukinipa mfano 'direct' wa mimi kufanya hayo unayosema, hapo nitakupa jibu sahihi. Hapa unarundika tu watu kwenye kundi sijui kwa faida gani?
Huwa sipendi 'generalization'.
 
Jeshi liliambiwa lilijiandae na uchaguzi leo linaambiwa lisijihusishe na siasa ndege za jeshi zilitumika hadi kwenye kampeni ya uchaguzi batili.

Anaongea tu ili mradi ameongea na sio anatumia akili ipasavyo kweli kuna msala mkubwa sana Tanzania hakuna rais.
 
PIA lilisema litawalinda waandamanaji 29/10 kwa mujibu wa wanaharakati wa JF na Mange
 
Mfano mzuri ni Kama walivyomtumia mch
Msigwa.
Sijui wamemtupa kwenye kasha gani la taka, maana hasikiki tena!
Track record ya ccm huwa wanakutumia kufanikisha jambo lao baada ya hapo hawataki mazoea

Wana haribu reputation yako halaf hawakusaidii

Jwtz ilikua moja ya taasis ambazo hazikuwa compromised , until oct 29

How wata restore imani yao kwenye jamii that will be so hard
 
Akishaongea huwa hakumbuki wala hafatilii alichoongea mwanzo.Yeye akiletewa anaruka na hutuba iliyopo tu..huwa hapitii na kwa sababu hapitii ndo huwa anashtuka palepale anaposoma kwamba kuna mambo hayapo ndo anaamua kuyaongezea mwnyewe tu. Kama 🀭"WHO ARE YOU??' Sidhani kama iliandikwa ileπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‡
 
Vyote viwili hatuna.

Rais na jeshi.
 
Nchi iko kwenye wakati mgumu sana basi tu. Wanajeshi wameonyesha usaliti mkubwa sana kwa wananchi na kwasasa hatuna namna ni kumwachia Mungu tu.
 
Kumbuka ni form four failure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…