Hao mamluki si ndo wapo kwnye hilo genge, na ni kazi ya JWTZ kulinda mipaka, na ukiona raia wanauliwa na polisi, Jeshi ndo linapaswa kuingilia, ndo maana hata umoja wa ulaya pia uliomba jeshi kuchukua nchi, unfortunately, uongozi wa juu wa jeshi upo corrupt.Ni police na genge la Samia ndio wanaua watanzania
Hatuna msaada wowote, as of now jeshi ni useless na inaonekana wamekubali kuwa chawa wa nduli SamiaHao mamluki si ndo wapo kwnye hilo genge, na ni kazi ya JWTZ kulinda mipaka, na ukiona raia wanauliwa na polisi, Jeshi ndo linapaswa kuingilia, ndo maana hata umoja wa ulaya pia uliomba jeshi kuchukua nchi, unfortunately, uongozi wa juu wa jeshi upo corrupt.
JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa.
Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita.
Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa jeshi la JWTZ itapungua kama sio kutoweka na ni kwasababu ya viongozi wa binafsi, tamaa na wasio wazalendo.
JWTZ linaonekana kuwa ni pambo kwenye mavazi, na sherehe za kitaifa, ila kulinda taifa na raia mumeshindwa, uongozi wote wa JWTZ unatakiwa kujiuzulu, hakika mumedhalilishwa, na badala ya kuchukua hatua kwa hao viongozi mumebaki toa visingizio na kushirikiana na vyombo vingine kuficha ushahidi ya maiti na hao mamluki.
JWTZ INAHITAJI REFORMS
Mkuu 'Pulex' sijakusoma zaidi ya kichwa cha mada yako.JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa.
Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita.
Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa jeshi la JWTZ itapungua kama sio kutoweka na ni kwasababu ya viongozi wa binafsi, tamaa na wasio wazalendo.
JWTZ linaonekana kuwa ni pambo kwenye mavazi, na sherehe za kitaifa, ila kulinda taifa na raia mumeshindwa, uongozi wote wa JWTZ unatakiwa kujiuzulu, hakika mumedhalilishwa, na badala ya kuchukua hatua kwa hao viongozi mumebaki toa visingizio na kushirikiana na vyombo vingine kuficha ushahidi ya maiti na hao mamluki.
JWTZ INAHITAJI REFORMS
Uko sahihi kila sehemu kuna hitajika reforms, ila sikuwa najua kwenye Jeshi kumeoza nako, ila kwa wananchi reforms zimeanza ile siku ya 29 OCT, trust me kuna mabadiliko yatatokea, kuna heshima kidogo itaanza kuonekana, tulifika pabaya, mtu anatekwa alafu anatoka chawa anasifia utekaji. Biashara zao zilipoanza kupigwa moto, wakaanza futa post, wameona hasira za wananchi…upuuzi kwenye maisha ya watu utapungua, angalia mkuu wa mkoa Chalamila wakati anaelezea hali ya usalama Dar, amepoa kisenge, yaani unamuona kabisa anatafuta maneno ya busara ambayo yasije waongeza hasira raia, yaani vitisho vitisho vyote hakuna.Mkuu 'Pulex' sijakusoma zaidi ya kichwa cha mada yako.
Binafsi sijui sehemu hata moja ndani ya nchi hii isiyo hitaji "REFORM". Naona hata kwa sisi wenyewe kama 'individuals', tunahitaji hiyo 'reform' kwa nguvu sana
WaTanzania hata humu JF tumebaki kuwa washangiliaji wa "mikeka" ya mama!
Kila kukitokea uteuzi inakuwa kama kuna mashindano ya kusifu na kupendekeza nani ateuliwe kwenye nafasi ipi, ili na yeye akafaidi matunda ya uovu!
WaTanzania wameuliwa na wengi kuumizwa; wik chache zijazo ukiingia humu humu jukwaani hutatambua kuwa watu walikuwa na majonzi ya kuwapoteza waTanzania wenzao!
Tutaanza tena kila mahala kuona mada za akina Kafulila kafanya hili; au kasema lile!
Hatuwezi kwenda popote kama nchi na hali ya namna hii imewajaa wananchi wenyewe.
Actually, it may be more complicated than you thinko maana hata umoja wa ulaya pia uliomba jeshi kuchukua nchi, unfortunately, uongozi wa juu wa jeshi upo corrupt.
Usalama na mahakama ni useless kabisa, hao wamegeuzwa chawa pro max, fight yote hii mpaka dunia inajua ni wananchi wenyewe tena wale vijana maskini kabisa, na wengi ndio walio pay the ultimate price(death), tutawakumbuka na inauma sanaKwanini wanalaumiwa sana JWTZ na sio Usalama wa taifa?. Manake usalama wa taifa wao ndio wanatakiwa kusimamia usalama wa nchi. Polisi kazi yao kulinda wananchi na jeshi kazi yao ni kulinda mipaka ya nchi.
Usalama wanatufanya kuwatupia lawama jeshi letu wakati wao ndio wakulaumiwa. Mfano CDF ana usalama wa taifa wawili hawa wapo kwa kufatilia nyendo zake tu kujua mipango yake yote.
Mimi napenda sana haya unayo yasema; na pa kuanzia ni kutomruhusu Samia Suluhu Hassan kuendelea na uovu wake ndani ya nchi hii..Uko sahihi kila sehemu kuna hitajika reforms, ila sikuwa najua kwenye Jeshi kumeoza nako, ila kwa wananchi reforms zimeanza ile siku ya 29 OCT, trust me kuna mabadiliko yatatokea, kuna heshima kidogo itaanza kuonekana, tulifika pabaya, mtu anatekwa alafu anatoka chawa anasifia utekaji. Biashara zao zilipoanza kupigwa moto, wakaanza futa post, wameona hasira za wananchi…upuuzi kwenye maisha ya watu utapungua, angalia mkuu wa mkoa Chalamila wakati anaelezea hali ya usalama Dar, amepoa kisenge, yaani unamuona kabisa anatafuta maneno ya busara ambayo yasije waongeza hasira raia, yaani vitisho vitisho vyote hakuna.
Tanzania will never be the same baada ya damu za watu zilivyomwaga. Na wakiwasha internet wajiandae kupambana na mashirika ya kimataifa.
Inauma sana, watoto wa maskini, wanalilia haki tu, unawapiga risasi 😭😭😭Usalama na mahakama ni useless kabisa, hao wamegeuzwa chawa pro max, fight yote hii mpaka dunia inajua ni wananchi wenyewe tena wale vijana maskini kabisa, na wengi ndio walio pay the ultimate price(death), tutawakumbuka na inauma sana
Kuna suali moja najiuliza hivi hakuna vijana wa kuwashughulikia hawa so called leaders?. Sijui mkuu wa mtaa mkuu wa mkoa,wabunge na mawaziri. Manake unakuta Chalamila na Thabit Kombo wanaongea upuuzi kwenye runinga wakijihisi wako untouchable kabisa.Usalama na mahakama ni useless kabisa, hao wamegeuzwa chawa pro max, fight yote hii mpaka dunia inajua ni wananchi wenyewe tena wale vijana maskini kabisa, na wengi ndio walio pay the ultimate price(death), tutawakumbuka na inauma sana
Huwezi amini, lakini wengi na familia zao wako nje tayari au wana ulinzi mzito sana, huyo chalamila alivyokuwa anaongea you can tell alikuwa hayuko kawaida, Thabit Kombo atakuwa nje au Zanzibar sio Dar es salaam you can tellKuna suali moja najiuliza hivi hakuna vijana wa kuwashughulikia hawa so called leaders?. Sijui mkuu wa mtaa mkuu wa mkoa,wabunge na mawaziri. Manake unakuta Chalamila na Thabit Kombo wanaongea upuuzi kwenye runinga wakijihisi wako untouchable kabisa.
Unajua nahisi 2028 huyu mama hafiki moja litatokea atajiudhulu na kumuachia Nchimbi au kutatokea Maandamano makubwa kuliko haya na hayo yataiangusha ccm moja kwa moja.Huwezi amini, lakini wengi na familia zao wako nje tayari au wana ulinzi mzito sana, huyo chalamila alivyokuwa anaongea you can tell alikuwa hayuko kawaida, Thabit Kombo atakuwa nje au Zanzibar sio Dar es salaam you can tell
2028 mbali kote, hapa kuna mchezo wanaufanya, mama anaapishwa alafu anaachia ngazi kumpa Nchimbi, wanaogopa akijiuzulu sasa atashika Philip Mpango, jamaa inaonekana ana misimamo yake.Unajua nahisi 2028 huyu mama hafiki moja litatokea atajiudhulu na kumuachia Nchimbi au kutatokea Maandamano makubwa kuliko haya na hayo yataiangusha ccm moja kwa moja.
Atakimbia tuu au ataishia kukamatwa wamekufa watu wengi sana, lakini maandamano kuelekea na kuizunguka ikulu kama watu laki moja guaranteed yatamaliza utawala wakeUnajua nahisi 2028 huyu mama hafiki moja litatokea atajiudhulu na kumuachia Nchimbi au kutatokea Maandamano makubwa kuliko haya na hayo yataiangusha ccm moja kwa moja.
Changamoto iliyopo nani wa kulitazama hilo jeshi na kulifanyia Reform?Jeshini kuna shida sana wakuu, ukiacha muundo kuna dilution kubwa sana ya training, askari na maafisa wa kisasa viwango vyao duni sana kwa ajili ya kuinufaisha sisiemu na kutokana na mashaka ya Nyerere kupinduliwa. Ni maafisa wachache sana wanataka wafikie viwango na ni wale tu wenye mauhusiano na watawala na wanawapeleka training UK Sandhurst. Hawa wa Monduli ni mitulinga tu na akili kidogo ili wawatumikie! Ni sahihi kabisa baada ya hili zengwe jesho litazamwe kwa jicho la mwewe!
1. Jeshi bado linaendeshwa na mstaafu...JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa.
Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita.
Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa jeshi la JWTZ itapungua kama sio kutoweka na ni kwasababu ya viongozi wa binafsi, tamaa na wasio wazalendo.
JWTZ linaonekana kuwa ni pambo kwenye mavazi, na sherehe za kitaifa, ila kulinda taifa na raia mumeshindwa, uongozi wote wa JWTZ unatakiwa kujiuzulu, hakika mumedhalilishwa, na badala ya kuchukua hatua kwa hao viongozi mumebaki toa visingizio na kushirikiana na vyombo vingine kuficha ushahidi ya maiti na hao mamluki.
JWTZ INAHITAJI REFORMS
Uko sahihi kila sehemu kuna hitajika reforms, ila sikuwa najua kwenye Jeshi kumeoza nako, ila kwa wananchi reforms zimeanza ile siku ya 29 OCT, trust me kuna mabadiliko yatatokea, kuna heshima kidogo itaanza kuonekana, tulifika pabaya, mtu anatekwa alafu anatoka chawa anasifia utekaji. Biashara zao zilipoanza kupigwa moto, wakaanza futa post, wameona hasira za wananchi…upuuzi kwenye maisha ya watu utapungua, angalia mkuu wa mkoa Chalamila wakati anaelezea hali ya usalama Dar, amepoa kisenge, yaani unamuona kabisa anatafuta maneno ya busara ambayo yasije waongeza hasira raia, yaani vitisho vitisho vyote hakuna.
Tanzania will never be the same baada ya damu za watu zilivyomwaga. Na wakiwasha internet wajiandae kupambana na mashirika ya kimataifa.