Kama Mkwere mwenye jana hajatamka lolote kuhusu waliousika na uzembe we unategemea wao waseme nini?Waandishi na JF mtakaokuwepo mumuulize maswali kwanini hajajiuzulu na waziri wake?
Kama CDF anazungumza baada ya amiri jeshi mkuu, then sijui ni nidhamu ya jeshi gani hiloKama jambo limeshazungumziwa na Amiri Jeshi Mkuu ambaye yuko juu ya Mkuu wa Majeshi kuna haja gani ya jambo hilo hilo kuzungumziwa na mtu wa chini yake? Hata hivyo kwa sasa uhuru wa habari umeminywa sana na mgao wa umeme. Ni aibu mtu kama mimi nimejua kuna milipuko kupitia mtandaoni. Yaani BREAK NEWS sikuzipata hata habari za jana asubuhi sikuzipata hadi nilipoingia ofisini.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange anakutana na waandishi wa habari muda si mrefu na inatarajiwa kurushwa na TBC1. JF will be represented
Sio Shimbo?