JWTZ mnatangaza ajira zenu lini?

wanachukua tena mwezi wa pili bogi lingine hilo walochukua ni la military science kwa form six tu......lonza zilizopo mwezi wa pili kuna bogi lingine mkuu
 
Kweli
 
wanachukua tena mwezi wa pili bogi lingine hilo walochukua ni la military science kwa form six tu......lonza zilizopo mwezi wa pili kuna bogi lingine mkuu
Wamechukua tayari,? bado bwa shehe, labda wakimaliza na wakipangiwa na weza kuwajuza Kama wale waliokuwa kule wametoka, sababu hawawezi kugonganishwa na wengine mpaka wale watoke.
 
Kwema, leo nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi zimetangazwa, umri 18-26, uwe umepitia jkt, fatiliani fursa vijana kweli sio utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…