Watu wengine wanashindwa kutofautisha JF na FB...hii peleka kule FB kwa watoto
watu wapo msata huko wanapga depo
Watu wengine wanashindwa kutofautisha JF na FB...hii peleka kule FB kwa watoto
watu wapo msata huko wanapga depo
Mkuu embu kuwa na nidhamu kwenye mambo ya siriazi embu kuwa siriazi ayo mambo unayofanya ni mambo ya watoto wa seccondari uko fb isitoshe awa jamaa wakikutafuta watakufanya vibaya sana.
mkuu unajua tayari umefanya kosa la jinai? kwa nini usikamatwe ili iwe fundisho kwa wengine? au mnafikiri watu JW hawafiki mitandaoni? mbona polisi mnawaheshimu hamuwezi kutoa taarifa yoyote ya uzushi dhidi yao au kwa kuwa sometimes wanawasaka wahalifu humu humu mitandaoni?
Jirekebishe kabla hujarekebishwa