mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Jeshi la Wakurya Tanzania (JWTZ)Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi jeshini kwa vijana wakitanzania wenye umri usiozidi miaka 25 wenye elimu ya kidato cha nne na cha sita.
Uandikishwaji huo utahusisha pia vijana waliopokatika kambi za jeshi la kujenga taifa JKT na waliopata mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria.
Habari hiyo imetolewa na kaimu mkurugenzi wa habari na uhusiano makao makuu ya jeshi la JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda .
sidhani hata kidogoKuna ukweli wowote hapo
Jeshi la Wakurya Tangu Zamani(JWTZ)Jeshi la Wakurya Tanzania (JWTZ)
exactly huwa linataniwa hivyo, nilikosea kidogoJeshi la Wakurya Tangu Zamani(JWTZ)
sidhani hata kidog
Kuna ukweli wowote hapo
Mkitangaziwa ajira mnalalamika, msipotangaziwa ajira mnalalamika.sidhani hata kidogo
Hamna hizo nafasi hata ukiomba kama hauna wa kukushika mkono usitegemeee kupata maana wanatoa kinafki sana.Mkitangaziwa ajira mnalalamika, msipotangaziwa ajira mnalalamika.
Mnataka nini wazee?
nchi hii usiiamini. kama wanasema sativa alijiteka toka dar kwenda "malawi" akijipiga risasi , akajileta barabarani asiliwe na wayama pori, lolote usiliaminiMkitangaziwa ajira mnalalamika, msipotangaziwa ajira mnalalamika.
Mnataka nini wazee?
🤣🤣 Kwann kaka mbona huna Imani na serikali ya nchi yako?nchi hii usiiamini. kama wanasema sativa alijiteka toka dar kwenda "malawi" akijipiga risasi , akajileta barabarani asiliwe na wayama pori, lolote usiliamini
Mwenye majibu ya hili swal tunaombaMaombi yanatumwa kwa njia gani?
Posta au online, kama ni online ni kwa email/ tovuti ipi?
Soma vizur mkuu. Ni kwa njia ya postaMaombi yanatumwa kwa njia gani?
Posta au online, kama ni online ni kwa email/ tovuti ipi?