Kuna poyoyo humu waona twacheza.. sikilizeni kesho muone show. Mda kama hao mbweha tutakuwa tumewakalisha chiniMwenye kusikia na asikie
Hapa hamna mboyoyo
Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
View attachment 3495410
Aliekuambia hawa wanaingia ingia barabaraziovyo ni nani.Mwenye kusikia na asikie
Hapa hamna mboyoyo
Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
View attachment 3495410
Sina mashaka na hiloTarajia taarifa kubwa tu
Jeshi letu ni imara mno
Hizi ramli tumeshazizoea, njoeni na ngonjera mpya sasaMwenye kusikia na asikie
Hapa hamna mboyoyo
Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
View attachment 3495410
Hakuna lolote.Mwenye kusikia na asikie
Hapa hamna mboyoyo
Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
View attachment 3495410
Imara na wanatekwa na mafweleTarajia taarifa kubwa tu
Jeshi letu ni imara mno
Maandamano yapo dada yanguWe endelea kupika kalmati mikwara kibao ukafikiri tarehe 29 haitafika haya sasa imefika umejichimbia juu ya dari