Ndio ni sahihiWakuu,
Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?
Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?
Naandika hivi wakati Lugalo jeshini pakiwa ni giza totoro na ikumbukwe pana hospitali pia (nako giza).
Mamlaka zijitafakari, hili halikubaliki
Uliza Kibiti kisha rejesha jibu!Ndio ni sahihi
Umefikiria kuhusu hospitali? Kuna kina mama wanataka kujifungua,watu wanatakiwa kufanyiwa upasuaji nk.. Bora sehemu ya usalama hata kufanya doria ikiwa gizani ndo nzuri hata adui hakuoni pia nikuulize Porini huwa kuna umeme ambako huwa wanalinda ama kupigana na maadui??Wakuu,
Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?
Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?
Naandika hivi wakati Lugalo jeshini pakiwa ni giza totoro na ikumbukwe pana hospitali pia (nako giza).
Mamlaka zijitafakari, hili halikubaliki
Niulize kuhusu nn mkuuUliza Kibiti kisha rejesha jibu!
Kuna baadhi ya watendaji wetu ambao pengine tumo humu JFlakini tunafanya kidogo sana kuboresha hali ya nchi.Wakuu,
Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?
Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?
Naandika hivi wakati Lugalo jeshini pakiwa ni giza totoro na ikumbukwe pana hospitali pia (nako giza).
Mamlaka zijitafakari, hili halikubaliki
Hahahaha ila nyie watu nimecheka kweli. Siasa inahitaji uwe mvumilivu sana...!!!Mkuu alishasema HATA KAMA NI IKULU, KATA...!!!
Na maneno ni mawili tu, KA na TA. Japo kwa kiswahili sanifu hayo sio maneno. Si unajua mkuu Kiswahili hajui, Kingereza hajui. Labda Kisukuma.
Hahahaaaa et labda kisukumaMkuu alishasema HATA KAMA NI IKULU, KATA...!!!