BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,667
- 1,051
Toka Mwanza to Dar NI dakika 7. Kwa ndege zetu za mwanza MiG23
Wangeenda mbali na mji ingependenza.hata hapa Dar huwa wanafanya hivyo.Sio powa wangeenda ziwani huko wawe wanatest kuvikwepa na kuvizunguka visiwa vidogo kwa spidi ya 25000kph
[/Q
UOTE]
Wakifanyia polini Jiwe litajuaje uwepo wao?
Nikawaida yetu kutest Rada ya uwanja mpya wa ndege,tupo tunatest ya chato hata songwe tulitest muwe na amaniAhaa! Kumbe kanda ya ziwa...ndio maana. Waambieni wazilete huku mjini mbona hapa muhimbili poa tuu.
Ndege speed yake ni knot sio kmph ,
Kilometer per hour ni za bajaji na gari
You are funny, ndege ifikishe speed ya 25,000kph? Hiyo imekuwa space shuttle kwenye orbit? Mnafurahisha. Mikedean VAR inakuhusu
Unaweza kuhisi ni mazoezi kumbe ndio unalindwa usishambuliwe... Tusipende kulaumu yasiyotuhusu.Tangu kumekucha ni milio mikali ya ndege zinazofanyiwa mazoezi na Jeshi.
Hivi Hawatambui kuna wagonjwa mahospital na majumbani?
Imeshindikana vip kufanyia mazoezi yenu huko porini? Yani ukikaa kidogo unasikia sauti kali mno yani mie niliye mzima zinanipa shida hivi sasa najiuliza vipi kwa mgonjwa wa presha na wagonjwa wengine?
Hata kama ni kupata sifa, hamuoni pia sio salama kwa raia pia maana katika mazoezi kuna risk pia ya vyombo vyenu kufeli, itakuwaje ikitokea la kutoea mkaangusha hiyo midege mijini humu, ni vifo kiasi gani mtatutangazia?
Kuna watu Wana akil ya kingeseLabda wanajiandaa na mechi za kirafiki!
Labda ungewaonesha hiyo sehemu ambayo hakuna wanadamu.Enyi wanajeshi, wana Mwanza tumewakosea nini?
Hivi ni halali kweli mnavyotufanyia tangia asubuhi ya leo hadi muda huu?
Mnaona raha gani kushtua watu na hiyo midege yenu ambayo sijui leo mko kwenye mazoezi au ni kitu gani. Ndege zinatoa milio ya kutisha. Halafu mnakwenda mnarudi.
Kumbukeni kuna wazee, wagonjwa walioko majumbani na mahospitalini, watoto wadogo nakadhalika.
Hivi hayo mazoezi hamuwezi kuyafanyia sehemu ambayo hakuna wanadamu?
Kuweni wastaraabu acheni kupasua watu mioyo yao!
.......hamia DRC......
Utamu wa JF ni kila mtu kuropoka tu.hizo ndege zinakwenda kasi kubwa ,fuel consuption yake pia ni kubwa na hivyo kuhitajika kurudi kila baada ya muda mfupi ili kufanya mechanical check up,pilots refresments na fueling pia.Tangu kumekucha ni milio mikali ya ndege zinazofanyiwa mazoezi na Jeshi.
Hivi Hawatambui kuna wagonjwa mahospital na majumbani?
Imeshindikana vip kufanyia mazoezi yenu huko porini? Yani ukikaa kidogo unasikia sauti kali mno yani mie niliye mzima zinanipa shida hivi sasa najiuliza vipi kwa mgonjwa wa presha na wagonjwa wengine?
Hata kama ni kupata sifa, hamuoni pia sio salama kwa raia pia maana katika mazoezi kuna risk pia ya vyombo vyenu kufeli, itakuwaje ikitokea la kutoea mkaangusha hiyo midege mijini humu, ni vifo kiasi gani mtatutangazia?
Camp zote za kijeshi uhazishwa polin kutokana ukuwaji wa miji hujikuta kambi zimekaribiana na makazi ya raia mfano ndogo hata hapo lugalo kawe ulikuwa polini miaka ya kihenga na vizuri Sana kuwa karibu na kambai za kijeshiLabda ungewaonesha hiyo sehemu ambayo hakuna wanadamu.