JWTZ Haya mazoezi yenu ya kurusha rusha ndege mngeyafanyia porini sio mijini

Wangeenda mbali na mji ingependenza.hata hapa Dar huwa wanafanya hivyo.Sio powa wangeenda ziwani huko wawe wanatest kuvikwepa na kuvizunguka visiwa vidogo kwa spidi ya 25000kph

You are funny, ndege ifikishe speed ya 25,000kph? Hiyo imekuwa space shuttle kwenye orbit? Mnafurahisha. Mikedean VAR inakuhusu
 
Enyi wanajeshi, wana Mwanza tumewakosea nini?
Hivi ni halali kweli mnavyotufanyia tangia asubuhi ya leo hadi muda huu?
Mnaona raha gani kushtua watu na hiyo midege yenu ambayo sijui leo mko kwenye mazoezi au ni kitu gani. Ndege zinatoa milio ya kutisha. Halafu mnakwenda mnarudi.

Kumbukeni kuna wazee, wagonjwa walioko majumbani na mahospitalini, watoto wadogo nakadhalika.

Hivi hayo mazoezi hamuwezi kuyafanyia sehemu ambayo hakuna wanadamu?
Kuweni wastaraabu acheni kupasua watu mioyo yao!
 
Wanapita hapo kwako wanaenda maporini huko mkuu,
au ulitaka wapite hapo kwako wakiwa wameliweka dege ndani ya ndoo bila sauti.
Kama unahisi huko maporini hawaendi, basi wewe hamia huko maporini ndipo utakutana nao mguu kwa mguu wakila tizi!

Kwa hiyo baada ya take off wanatakiwa kukatiza town centres? Unajua kimo kutoka ardhini cha hizo ndege zinapokuwa angani? Sijui nimejisahau vipi kukujibu kwa hizi akili zako sioni ukielewa chochote kuhusu mambo ya anga
 
Tatizo wanapitia anga la chini sana sijui ili iweje sasa tusikie tuogope au nini, Je, wanajua madhara wanayoweza sababishia watoto wachanga Hospitalini na hata majumbani.
 
Jamaa yangu yuko sahihi ukweli kelele za mindege hiyo si mchezo yaani huwa yanapiga kelele sana lakini na wenyewe wajue kuwa kwenye makazi ya watu kuna wagonjwa wa aina mbali mbali , Tanzania inayo Mapori mengi tu yanayotosha kabisa kufanyia mazoezi, pori la serengeti, buligi ,au Baharini kwa upande wa dar, waende huko pana wafaa sana, naunga mikono hoja
 
Wangeenda mbali na mji ingependenza.hata hapa Dar huwa wanafanya hivyo.Sio powa wangeenda ziwani huko wawe wanatest kuvikwepa na kuvizunguka visiwa vidogo kwa spidi ya 25000kph
Ndege speed yake ni knot sio kmph ,
Kilometer per hour ni za bajaji na gari
 
Tangu kumekucha ni milio mikali ya ndege zinazofanyiwa mazoezi na Jeshi.

Hivi Hawatambui kuna wagonjwa mahospital na majumbani?

Imeshindikana vip kufanyia mazoezi yenu huko porini? Yani ukikaa kidogo unasikia sauti kali mno yani mie niliye mzima zinanipa shida hivi sasa najiuliza vipi kwa mgonjwa wa presha na wagonjwa wengine?

Hata kama ni kupata sifa, hamuoni pia sio salama kwa raia pia maana katika mazoezi kuna risk pia ya vyombo vyenu kufeli, itakuwaje ikitokea la kutoea mkaangusha hiyo midege mijini humu, ni vifo kiasi gani mtatutangazia?
Kumbe uzi wangu umeungwa hapa kwako!
hahahahahahahahah.
 
Enyi wanajeshi, wana Mwanza tumewakosea nini?
Hivi ni halali kweli mnavyotufanyia tangia asubuhi ya leo hadi muda huu?
Mnaona raha gani kushtua watu na hiyo midege yenu ambayo sijui leo mko kwenye mazoezi au ni kitu gani. Ndege zinatoa milio ya kutisha. Halafu mnakwenda mnarudi.

Kumbukeni kuna wazee, wagonjwa walioko majumbani na mahospitalini, watoto wadogo nakadhalika.

Hivi hayo mazoezi hamuwezi kuyafanyia sehemu ambayo hakuna wanadamu?
Kuweni wastaraabu acheni kupasua watu mioyo yao!

Uzi ni wa mwanaume wa dar ambaye yupo mwanza kikazi
Hapana, hali ni ngumu sana. hata mie niliweka thread yangu ya kulalamika imeungwa kwenye huu uzi!
Hii hapa:
 
Tatizo wanapitia anga la chini sana sijui ili iweje sasa tusikie tuogope au nini, Je, wanajua madhara wanayoweza sababishia watoto wachanga Hospitalini na hata majumbani.
kama ni mafunzo lazima wapite hapo inapotakiwa, nani kakuambia utampangia adui sehemu ya kupigana kuwa wasije mjini watoto na wagojwa wanakunywa uji wataogopa?kama kuna ulazima wa kufanya mazoezi mchana tena mjini watafanya, na huna la kuwafanya muwe na shukrani
 
Back
Top Bottom