Jvc 3ccd camcorder for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jvc 3ccd camcorder for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Apr 18, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nauza Camcorder ya JVC model GZ-MG505 ambayo imetumika kidogo sana na imetumika kwa uangalifu.Camcorder hii haitumii Cassette inatumia Hard Drive ambayo ni kubwa ya kukutosheleza kuchukua kwa masaa mengi ila sijui ni masaa mangapi mpaka kujaa nadhani utaiona ktk kitabu chake kwasababu ipo Bongo na mimi sipo huko.Model hii ni nzuri sana ambayo inatumia 3CCD yani quality yake ni sawa na zile za professional ambazo wanatumia hata kwa maharusi au kutengenezea movie.Na bei yake kwa huku uingereeza inauzwa kama mpya £850 nadhani itakuwa Tshs 2.2 milion lakini mimi nahitaji Tshs 500,000 tu.Unaweza kuitafuta ktk Google ili upate kuiangalia vizuri pamoja na maelezo yake zaidi na picha ya Camcorder.Ila haina box kwasababu mtu aliesafiri nayo alitupa box bila ya kuniambia kwa kuogopa Airport na vile vile nafasi ilikuwa haitoshi ikiwa na box yake.Kwa yeyote atakae hitaji naomba awasiliane na HABIBU 0717810318.

  Screen 2.7
  Optical zoom 10x
  Storage media type-Hard drive 30GB
  5 Mega pixel

  $(KGrHqZ,!hoE83w0d-5OBPQUZQtibg~~60_12.jpg
   
Loading...