Jvc 3ccd camcorder for sale

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
JVC 3CCD Camcorder model GZ-MG505
Imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na haina matatizo.Screen 2.7 inch,Optical zoom 10x,Storage media type..Hard disc drive 30GB,5 Mega pixel steel picture.Hii ni camcorder inayotumia hard drive na inazo bettery 2 na moja inatumia muda mrefu zaidi.Kwa maelezo zaidi nadhani unaweza uka google hiyo model number na kupata maelezo yake kwa undani zaidi.Camcorder hii natumaini itafika mwisho wa mwezi huu wa tatu au wanne.Bei ni shs 500,000.Tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318. $(KGrHqZ,!hoE83w0d-5OBPQUZQtibg~~60_12.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom