Sony professional video camera DCR VX9000e 3CCD PAL FULL SIZE DV COMCORDER

Sony professional video camera DCR VX9000e 3CCD PAL FULL SIZE DV COMCORDER

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
Sony DCR-VX9000E Pal Full Size DV Camcorder 3CCD ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye kusifika.

Camera hii itaambatana na Cassette 20 ambazo pia zimetumika lakini bado zina maisha marefu kwasababu ya matunzo mazuri pamoja na Camera yenyewe.Na itaambatana na betri 4 pamoja na remote control na begi la kuhifadhia Camera pamoja na vifaa vyote.

Bei yake ni shs 1.3 milioni na kwa ununuzi tafadhali uwasiliane na HABIBU 0717810318.
 

Attachments

  • DSC00645.JPG
    DSC00645.JPG
    679 KB · Views: 53
  • DSC00647.JPG
    DSC00647.JPG
    692.3 KB · Views: 65
  • big_92014079z5m.jpg
    big_92014079z5m.jpg
    45.2 KB · Views: 47
  • sony-dcr-vx9000e-slika-9793805.jpg
    sony-dcr-vx9000e-slika-9793805.jpg
    14.9 KB · Views: 47
Hivi bado watu wanatumia hizi kitu za analogy?
 
hii ni digital si analogy maana ya DV ni DIGITAL VIDEO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom