Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,715
Wiki iliyopita nikiwa nimekaa kitandani kwangu ghafla kuna wazo la kijinga lilinijia out of nowhere. Naliita la kijinga kwa sababu ukifikiria mm ni colleague wa chuo fulani hapa jijini kwa hiyo ilinnipasa nifikirie beyond this anyway nikaamua kufanya.

Wazo lenyewe lililonijia ni kuwa jaribu kuwakumbusha some best memories of us,and most importantly how we used to SEX.Master plan ilikuwa ni mm kuigiza kuwa nimemiss MCHEZO TU.

basi nikaanza kutafuta contacts zao,zingine zilikuwa GoogleContacts,,wengine nikawatafuta from friends mpka nikapata number... iakchukua siku nzima niliowapata WAKAFIKA 11 NIKASEMA INATOSHA.

Nikaandika bonge moja la ujumbe ili niforward kwa kila mmoja wao...Nikaanza ujumbewangu,nikajitambusha mm ni Jay ur ex-bf na blah blah za mbona mkimya na nn,,,, nikisifia "our days", na ujanja WAKE kitandani, na kwamba sasa hivi i dont get enough kama nilivyokuwa napata kwake>> NIKAIFORWARD sasa......kwahiyo huu hapa ni mrejesho kwa baadhi yao in their final say baada ya chatting mbili tatu......

1)Inamaana Jay sikuhizi upo single?

2)Jay siamini unachokisema..akanipigia simu tukaongea...akaniambia yupo mkoani Mzumbe hawajafungua 3rd year.

3)Mwingine akasema nimpe mda afikirie kuhusu SEX ila nijue kuwa ana mtu wake.

4)Mwingine akamalizia kwa kusema yupo mkoani akirudi atanitafuta ...

5)Yupo chuo hapa mjini ila mambo yanabana atanitafuta.

6)We need to talk first...

7) Hivi kipindi kile tulipoachana what did u think? umeshachezea wengine hukoo now unarudi tena kwangu?I hate you Jay.

8)Jay nimeshaolewa mwenzio.... haya nikampa hongera zake

9 )No response

10 & 11) Wametoa msimamo wao kuwa haiwezekani kwa sasa....

Na ikawa hivyo,,,wewe umegundua nn kutoka kwa hawa ma-ex wangu?
 
Hvi nyie wanaume sijui wavulana wa siku hizi mpoje kwa mfano? So umeenjoy kuwasumbua na kuwapima dada za watu we nakukopi ole siku uje humu unalialia oooh wasichana sio watu ni kuku sijui nin ...utajua Kweli Mungu awasamehe


kwa hiyo nikiumizwa nisije huku? nakuja kama kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom