Hata nikijaribu kufanya comparison ya wimbo mmojammoja katika nyimbo zao nashindwa kupata namna ya kumuweka Jux mbele ya Ben Pol..!!! Msanii wa Muziki MKALI kuliko wote Tanganyika ni Ben Pol... Msanii wa Muziki MKUBWA kuliko wote Tanganyika ni Diamond Platnumz..!!! Over!!!
we jamaa haufatili mziki moyo mashine inahit tz nzima kila kona we unasema anashuka nazani huyo jux anapesa za china ndo ambazo zitamfanya asiteteleke kiraisi ata hivy wangetengeneza team ili watengeneze pesa zaidi na watrend zaidi kama mond na kiba habari za kupiga picha pamoja kutokujielewa mawaz yangu
Kwa anayejua ladha ya R & B atamkubali Jux,ila kama ni yule anayependa mchanganyiko wa ladha atamkubali Ben Pol, huu ndio ukweli ambao watu wengi wanawaonea aibu kuwaambia, mimi nimewapa siri hiyo ichukueni.

Habari wana jamvi kama title inavyosema hapo juu nahitaji kujadiliana nanyi kuhusu hawa watu wawili nan mkali kuliko mwengine?? View attachment 390427
Karibuni