McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Apr 11, 2017 #41 Kwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,755 Apr 11, 2017 #42 wiser1 said: ha ha ha haaaaaaaa uwiiiii eat and waaaaaaaaat Click to expand... Wabongo utawawezaa sasa...kiingereza kilikuja na meli hiki! Nadhani sahihi ilikuwa kusema "Hit and run"
wiser1 said: ha ha ha haaaaaaaa uwiiiii eat and waaaaaaaaat Click to expand... Wabongo utawawezaa sasa...kiingereza kilikuja na meli hiki! Nadhani sahihi ilikuwa kusema "Hit and run"
255Gene JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 888 Reaction score 1,091 Apr 11, 2017 #43 Daby said: Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini. Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux? Click to expand... Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol???
Daby said: Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini. Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux? Click to expand... Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol???
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,010 Apr 11, 2017 #44 Daby said: Nitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo Click to expand... Satire at it's peak. Na pengine bado hajaelewa comment yako.
Daby said: Nitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo Click to expand... Satire at it's peak. Na pengine bado hajaelewa comment yako.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Apr 11, 2017 #45 255Gene said: Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol??? Click to expand... Jamalm335 said: Satire at it's peak. Na pengine bado hajaelewa comment yako. Click to expand... Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa.
255Gene said: Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol??? Click to expand... Jamalm335 said: Satire at it's peak. Na pengine bado hajaelewa comment yako. Click to expand... Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa.
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,010 Apr 11, 2017 #46 Daby said: Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa. Click to expand... Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.
Daby said: Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa. Click to expand... Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,706 Apr 11, 2017 #47 Mapenzi ya mwendokasi...! Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Apr 11, 2017 #49 Jamalm335 said: Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa. Click to expand... Mkuu unautani na jamaaa sasa
Jamalm335 said: Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa. Click to expand... Mkuu unautani na jamaaa sasa
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 Apr 11, 2017 #50 Duke sarawili
L laki si pesa. JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 9,984 Reaction score 9,757 Apr 11, 2017 #51 McDonaldJr said: Kwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja Click to expand... kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa
McDonaldJr said: Kwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja Click to expand... kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa
matyhans JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 611 Reaction score 403 Apr 11, 2017 #52 sasa kama wameachana ww inakuhusu nn??? mbn ulivooachana na mtu wako haukuwahi kusema hapa
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,337 Reaction score 22,287 Apr 11, 2017 #53 Afadhari. Kwahiyo Vanessa sasa available au?
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Apr 11, 2017 #54 laki si pesa. said: kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa Click to expand... Kuna umri ni nadra sana kutengana chief tena hata watu watawashangaa ila vijana ni kawaida aiseeee ndio maana vijana wakidumu sana watu lazima wawapongeze.
laki si pesa. said: kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa Click to expand... Kuna umri ni nadra sana kutengana chief tena hata watu watawashangaa ila vijana ni kawaida aiseeee ndio maana vijana wakidumu sana watu lazima wawapongeze.
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,455 Apr 11, 2017 #55 Nucky Thompson said: Ni shilawadu ndio wanasema na Vanessa inasemekana alikuwa anachepuka kabla Click to expand... kwani wakati wanatongozana walikuambia?
Nucky Thompson said: Ni shilawadu ndio wanasema na Vanessa inasemekana alikuwa anachepuka kabla Click to expand... kwani wakati wanatongozana walikuambia?
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 Apr 11, 2017 #56 Daby said: Nitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo Click to expand... Hahahahaha niliona ke wanapita kimya kimya kwenye huu uzi
Daby said: Nitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo Click to expand... Hahahahaha niliona ke wanapita kimya kimya kwenye huu uzi
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Apr 11, 2017 #57 Perpendicular said: Hahahahaha niliona ke wanapita kimya kimya kwenye huu uzi Click to expand... Hahaha Mkuu umeacha watu hoi leo
Perpendicular said: Hahahahaha niliona ke wanapita kimya kimya kwenye huu uzi Click to expand... Hahaha Mkuu umeacha watu hoi leo
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 Apr 11, 2017 #58 Slim5 said: Hivi ni hit and run au EAT AND RUN? Click to expand... Hit naona haiko poa sana.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,385 Apr 11, 2017 #59 James delicious atakuwa kafurahi, huwa anamtaka jux na alisema hadi ampate.....
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 Apr 11, 2017 #60 Bonny said: Kula ukimbie wala hakuna shida Click to expand... Wahenga walisema nimenukuu tu