Juventus watwaa ubingwa kwa mara ya 8 mfululizo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20190420_214712.jpg


LIGI KUU ITALIA: Klabu ya Juventus yatwaa ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuinyuka Klabu ya Fiorentina kwa mabao 2-1 na kufikisha alama 87

Magoli ya Juventus yamefungwa na Alex Sandro na Pezzella aliyejifunga na goli la kufutia machozi upande wa Fiorentina limefungwa na Nikola Milenkovic

Huu ni ubingwa wa 8 mfululizo kwa Juventus
 
Ligi ya Italy Na ufaransa hata kabla haijaanza inajulikana kabsa champion n Nan

cjui nakomemt wapi
 
Ligi dhaifu

Ile njemba mpenda penati ndo mana kaenda kujifichia uko udhaifuni ili akachukue ujiko
 
Serie A
Scottish Premier
French League 1
Bundesliga
Bundesliga hapana hapa
kuna ka mchuano kidogo
maana kwa Sasa bayan
haina makali kama zaman

Scottish premier Nako huko
Kama sio ranges kuzembea
Angeleta upinzan kwa Celtic

cjui nakomemt wapi
 
Bundesliga hapana hapa
kuna ka mchuano kidogo
maana kwa Sasa bayan
haina makali kama zaman

Scottish premier Nako huko
Kama sio ranges kuzembea
Angeleta upinzan kwa Celtic

cjui nakomemt wapi

Greece premier league
Hata wewe mkuu Usser ukiteuliwa kuwa coach wa Bayern ama Celtic basi ubingwa ni by default
 
Ligi dhaifu

Ile njemba mpenda penati ndo mana kaenda kujifichia uko udhaifuni ili akachukue ujiko
Ronald anavyopenda kamera sikuamini kama ataenda italy niligundua baadae kwamba uwezo umeisha
Akitoka hapo ataenda kutafuna fedha za waarabu wa psg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom