Nakubaliana na wewe last season nilisema ulikuwa wakati muafaka wa Juventus kumuuza Arturo Vidal mlikuwa na uhakika wa kupata pauni mil 35-40 lakini kitendo cha kulazimisha kumbakiza alivyopata majeruhi tu thamani yake imeshuka sana.Kwa Pogba hamkosi 45-60 so huu ni wakati mzuri PSG,Real Madrid,Barca na Man City wapigane vikumbo still Juve wana msuli wa kuchukua mchezaji yeyote hapo Serie A (Pjanic,Dyabala) na bado mna uwezo wa kusajili wazoefu kutoka ligi nyingineBinafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn
Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi

Pogba anataka kwenda kucheza Paris, na hiki ndo kipindi cha kuchukua hela, msisubiri misimu mingine miwili mpaka avunjwe vunjwe watu waogope kutoa milioni nyingi. Ukiuza Pogba unapata hela ya kununua madogo wengine 3, ndio unajenga timu.
Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.
Kwanini na nyie msiuze Ronaldo kabla hajazeeka sana? Maana umri ndo unakimbia hivyo, nguvu na spidi mda wowote vitaanza kushuka.

Sijui ushabiki au unaongea vitu usivyovijua! Kwa taarifa yako Cristiano hata akiamua kutundika daruga kesho, ashalipa deni lake na kashaingiza faida kubwa. Real Madrid inatengeneza na kuuza wachezaji na inapata faida kwa hilo pia.
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.
Pogba ni bonge ya mchezaji, sema anahitaji attitude adjustment ili akamilike, vinginevyo hatafika mbali. Nadhani hiyo ni moja ya sababu ilimfanya akashindwa kucheza United. Hopefully, with age atabadilika for the better.Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn
Mpaka sasa Cristiano ameshaanza ku-slow down, ila image yake bado muhimu sana for the club, + he offers goals and a fear-factor advantage. Kuuzwa kwa sasa si rahisi, unless atake mwenyewe, which pia si rahisi kwa sasa.-Hayo mambo ya kulipa deni yamekujaje, kuna mtu kasema hajalipa deni au kuna mtu ambae hajaona mchango wa Ronaldo kwa Madrid!!!
-Subiri miaka 2 au 3 kama hutakuja kulalamika kiwango chake.
Pogba ni bonge ya mchezaji, sema anahitaji attitude adjustment ili akamilike, vinginevyo hatafika mbali. Nadhani hiyo ni moja ya sababu ilimfanya akashindwa kucheza United. Hopefully, with age atabadilika for the better.
Yani mkuu umenena kweli.. dogo amekua blazameni sana, hatukatai ni mkali uwanjani lakini daah.. ni bora akasepa tena wakati huu huu ambao PSG watashawishika kutoa mshiko wa kutosha... mnakumbuka tulivo wapa D.LUIZ.. wapeni PP mpate pesa ndefu aseeh
Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.
-Verati akienda Madrid namshauri Pogba aende PSG. Na kama akienda PSG basi kuna kiungo mmoja ataondoka.
-Dogo asiende Real, hii timu ya kipuuzi sana sababu Kila mchezaji atakaewika basi wao watamtaka, kwahiyo akija mwingine akiwika kiliko Pogba basi Pogba tumsahau kupata Namba tena. Ona hata Bale jinsi anavyotupiwa milawama, kanunuliwa kwa pesa kubwa ila hata dakika hii fans wanatamani aondoke.
-Pogba aende Barca, huku namba atapata na atawika. Barca inahitaji kiungo mzuri kwa mda huu, Xavi na Iniesta tayari zama zao zimeanza kupotea, kwahiyo akienda kule uhakika wa Namba atapata kama kwa Suarez.
-Juve ikifanikiwa kumuuza waende kwa Dortmund wakanunue yule kiumbe aitwaye Gundogan. Safi sana hii mashine.
Henrik Mkhitaryan, kila siku namwambia mchizi wangu mmoja kwenye group kwamba, jamaa angekuwa anacheza Arsenal au timu yoyote ya Premier, angekuwa anapigiwa kelele za kiungo bora. Jamaa anaujua mpira.Hapa napata news alert kuwa Ilkay Gundogan won't renew his contract with BD, kuna wachezaji wawili pale BD nawafagilia sana,
Ukimuacha huyo mturuki kuna machine pale ambayo huwa naona ni underrated kwa wengi, Henrikh Mkhitaryan, huyu no.10 ni bora kabisa kule Bundasliga. Anarahisisha sana kazi ya wafungaji ndio maana unaona hata dogo Aubamayang anatupia almost kila game. Pogba atembee halafu leta hii machine au hata Gundogan
Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.
Kifupi Barca ni wachafu balaa, na ndio maana mnapenda kupaka wenzenu matope. Much worse, mmekuwa snitches, mmechonga FIFA eti tuchunguzwe na sisi, smh.
Tunajua uchafu wenu pia, so tukinyamaza msituone mabwege.
Henrik Mkhitaryan, kila siku namwambia mchizi wangu mmoja kwenye group kwamba, jamaa angekuwa anacheza Arsenal au timu yoyote ya Premier, angekuwa anapigiwa kelele za kiungo bora. Jamaa anaujua mpira.
Sema kama wachezaji wa BvB wana gundu hivi, wana-shine home tu, wakitoka wanasua sua. Sahin alikamua sana misimu miwili ya mwisho kabla ya kwenda Madrid na kuchemka, Kagawa pia. Waangalie Lewy na Gotze wanavyo-struggle, Lewy kaanza kuchezeshwa kwa sababu ya price tag yake tu, ila kuna games kibao Pep alikuwa anamchomesha mahindi. Gotze mpaka leo anasubiria watu waumie.
-Hayo mambo ya kulipa deni yamekujaje, kuna mtu kasema hajalipa deni au kuna mtu ambae hajaona mchango wa Ronaldo kwa Madrid!!!