Ghohan Inler, Behrami, Dzemaili na marek Hamsik....hivi vitoto vinanifurahisha sana kwa kweli...
I wish viendelee kuwepo msimu ujao na Cavani wao ili timu za Italia zifanye vizuri nxt season of champions ligi
lakini Conte haridhiki na kikosi kilichopo.kuna mvutano hivi sasa baina yake na directors.yeye anataka changes kubwa na anaamini uwezekano huo upo.amesema juzi kuwa kuhangaika na watu mmoja au wawili tu haitoshi,anataka usajili wa maana na project endelevu kuwapa nafasi young players,kitu ambacho Italia hawapendi kusikia na ndo maana timu nyingi zilijaa wazee.hizi demands zake Juve wanaona ni high risk taking!wanataka kuendelea na mabadiliko ya taaratibu!Conte juzi wakati akiulizwa mustakabali wake klabuni baada ya kufuatiliwa na Madrid,chelsea na man city alisema hawezi kuzungumza kama anabaki au la mpaka Juve watakapokubaliana naye kuhusu proposal zake mpya kwenye project na hasa usajili wa maana na mfumo wa kunyanyua wachezaji wenye umri mdogo.anasema bado anahitaji watu ili kujenga kikosi ambacho kitacheza offensive game with a lot of possession na mashambulizi yakijengwa toka nyuma kwenye defence na huku mbele kukiwa na wide attackers at least wawili wenye uwezo wa kufanya mashambulizi ya kustukiza.ni ishu serious wazee kuna mvutano Juve hivi sasa!
Sawa kabisa unacho-wish Mzee mwenzangu na me natamani at leasts msimu ujao Serie A turudishe makali kwenye UCL manake watoto wadogo wanaongea kashfa sana siku hizi, wanatukana wakunga na uzazi ungalipo.
Inler na Behrami wanakaribia 30's so probably wao wana nafasi kubwa kubakia klabuni on other hand Hamsik na Cavani ni malighafi adimu huko ulaya na take into consideration kwamba umri wao bado unaruhusu (mid 20's) wanaweza wakabaki wajaribu tena kupigania Scudeto na kwenda mbali kidogo kwenye UCL
Team yako nayo inahitaji usajiri wa maana tena nadhani zaidi yetu, kuanzia wa Kocha then nadhani kila idara inahitaji kuimarishwa. Kwa sababu kwa hii ligi yetu ni Bianconeri, Milan na Napoli ndio zina stand a chance kubishana kwenye UCL, Lazio na ndugu zao Roma hao ngoma yao ni UEFA toto, jirani zako kushney.
Mkuu JUVE2012, Conte yuko sawa lakini ajaribu kuwa realistic kidogo na yeye or else anatafuta sababu ya kuhama club kwa sababu ya hizo club kubwa zinazomtaka.
Me sidhani kama tunahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye kikosi cha kwanza, usajili wa wachezaji wa3 au wa4 inatosha kabisa or else tutatibua balance ya team.
Kama nilivyosema kuwa team ishakaa kwa muda sasa, wachezaji wanaelewana vizuri na hii ni muhimu sana kwenye mafanikio. angalia kwa mfano Bayern, Dortmund na Barca, team zao zina wachezaji waliokaa pamoja kwa muda ndio maana unawaona wanacheza namna wanavyocheza na mafanikio wanayopata.
Kama ni mabadiliko makubwa afanye kwenye academy kwa hiyo vision yake anayotaka club iende nayo vinginevyo tutakua kama Man Cty ambao ni nothing than mkusanyiko tu wa wachezaji wasiokua na team!
sijaona tatizo la kipa kwenu wala kwa beki...
Tatizo la juve linaanzia kwenye kiungo na ushambuliaji.
Juve kwa sasa mnatakiwa muwe na Viungo wakabaji wawili, kisha viungo kama Lavezzi, Hamsik na Kaka watakaokuwa wakimlisha mipira mshambuliaji mmoja tu pale mbele ambaye kwa timu yenu mpaka sasa hamna mtu huyo.
wakabaji wawe Pirlo na Vidal Pado, au Pirlo na Marchisio.
Juve viungo mlio nao wote ni wakabaji. Then washambuliaji mlionao wote ni type ya namba 10, yaani hawakai pale mbele.
Ukitazama magoli yenu mengi ni hardcore sana. So kama mkikutana na timu itakayoweza zuia uhuni wa na ubabe wa Juve basi yafuatayo ni kama yale ya Bayern.
rejea game ya pili kati ya Man UTD na Madrid.
Man UTD walipoongoza game basi Mourinho akatia mtu 3 mle ndani yaani Ozil, Modric na Kaka...
mnakumbuka kilichotokea?
Belo atakuja kumalizia
sijaona tatizo la kipa kwenu wala kwa beki...
Tatizo la juve linaanzia kwenye kiungo na ushambuliaji.
Juve kwa sasa mnatakiwa muwe na Viungo wakabaji wawili, kisha viungo kama Lavezzi, Hamsik na Kaka watakaokuwa wakimlisha mipira mshambuliaji mmoja tu pale mbele ambaye kwa timu yenu mpaka sasa hamna mtu huyo.
wakabaji wawe Pirlo na Vidal Pado, au Pirlo na Marchisio.
Juve viungo mlio nao wote ni wakabaji. Then washambuliaji mlionao wote ni type ya namba 10, yaani hawakai pale mbele.
Ukitazama magoli yenu mengi ni hardcore sana. So kama mkikutana na timu itakayoweza zuia uhuni wa na ubabe wa Juve basi yafuatayo ni kama yale ya Bayern.
rejea game ya pili kati ya Man UTD na Madrid.
Man UTD walipoongoza game basi Mourinho akatia mtu 3 mle ndani yaani Ozil, Modric na Kaka...
mnakumbuka kilichotokea?
Belo atakuja kumalizia
EXCLUSIVE:
The Italian champions are in pole
position to clinch the Argentina international's
signature this summer on a four-year deal worth
4.5 million per season plus bonuses
Yap Naona Higuain huenda akaungana na Fernando Lorente msimu ujaoGonzalo Higuain you mean?
Tutakua tumelamba dume ila tu tupate na mtu wa design ya kina Mata,Silva au Ozil wa kumlisha
Marotta yuko bize na Diamanti.binafsi namkubali sana huyu jamaa ila sina uhakika kama anahitajika pale.
Kwa kweli tunahitaji mpishi a.k.a Afisa Ugavi type ya kina Ozil, or else hawa strikers watakua butu tu.
Diamanti anajuwa sana.
Akipatiwa na mwenzie mmoja kama Javier Pastore mtakuwa mmemaliza kila kitu.
Unajuwa Soka la Italy limeshuka mi nadhani sababu 1 ni baada ya kukusa wachezeshaji tu.
Enzi ya Milan kuwa na akina Rui Costa na Seedorf ilikuwa balaa Duniani...
Juve pana Mauro German, kisha pana Pavel Nedved balaa Mzazi...
Diamant anacheza mkuu mourinho. Mm binafsi namuamini sana Qugliarela, but tunahitaji mtu wa kasi kama Diamant na REUS. Yani tatizo viungo wetu wote wakabaji. Inatakiwa tupate viungo fulani vilainishi kama mafuta ya kula.
Twende na statistics kidogo, Allesandro Diamanti ana assists 7 in 32 apprnc msimu huu, hata Arturo Vidal wetu kamzidi (8 asst in 29 apprn c) though tunamwita mkabaji. Is he a type of midfield atakayekua anavunja ukuta wa wapinzani kwa pass murua za magoli?
By the way jamaa is already 30, ukimuweka huyo na Vidal, ntamchagua Arturo usiku na mchana.
Tunahitaji zaidi ya Diamanti, mtu kama Marek Hamsik
Age is just a namba...
Di Natale mfalme wa Friuli katupia nyavuni goli 100 katika misimu minne ilopita.
Messi pmj na watu waliomzunguka katupia kamba 160, Ronaldo kamba 141.
Je unamjuwa anayemchezesha Di Natale?
Je Di Natale apatiwe nafasi pale mbele Barca unashani atafunga mangapi?
So mpe nafasii Diamanti