Juventus imecheza mechi tatu na haijashinda mechi hata moja zaidi ya sare moja tu. Allegri kazi anayo msimu huu. Roma ina Mourinho na wamesajili haswa, Inter Milan ina Inzaghi na wamesajili watu haswa, Lazio ina Sarri nae kajipanga haswa bila kusahau Ac Milan ya Pioli na Napoli ya Spalletti. Juventus inabidi ipambane haswa kupata top 4