Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,341 Mabeki wa Barca mbio hawana halafu wazito
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Apr 19, 2017 #3,342 tumekosa kama mawili hivi apaa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,343 Messi haonekani kabisa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,344 Neymar chini ni faulo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,345 Barca nusura waone mwezi lakini goli kiki
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,346 Suarez kiki imegonga beki
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,347 Barca waja tena
ifa96 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 511 Reaction score 345 Apr 19, 2017 #3,348 Ziroseventytwo said: Baada ya dhuruba tusisikie malalamiko. Ooooh wamebebwa oohh sijui offside na vitu kama hivyo. Cc ifa96 Iceman Click to expand... kuna nafas wanazipata juve wanashindwa kuzitumia mkuu nakuwa na presha maana wanaweza kuja zijutia curdado naona anafanya madudu ila wacha tuendelee kuwaombea
Ziroseventytwo said: Baada ya dhuruba tusisikie malalamiko. Ooooh wamebebwa oohh sijui offside na vitu kama hivyo. Cc ifa96 Iceman Click to expand... kuna nafas wanazipata juve wanashindwa kuzitumia mkuu nakuwa na presha maana wanaweza kuja zijutia curdado naona anafanya madudu ila wacha tuendelee kuwaombea
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,349 Messi no ishu
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,157 Reaction score 17,052 Apr 19, 2017 #3,350 Monaco anamshikisha mtu ukuta huko dk 19 gaol 2-0
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Apr 19, 2017 #3,351 leo alves kaenda wap jaman!!?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,352 Neymar kasahau goli liliko kiki njeee kabisa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,353 Sergio Alberto kiki nyingine njee
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Apr 19, 2017 #3,354 Ziroseventytwo said: Monaco anamshikisha mtu ukuta huko dk 19 gaol 2-0 Click to expand... duuh wako form haoo
Ziroseventytwo said: Monaco anamshikisha mtu ukuta huko dk 19 gaol 2-0 Click to expand... duuh wako form haoo
ifa96 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 511 Reaction score 345 Apr 19, 2017 #3,355 Monako keshalainisha kaz Dortmund siku iz wamekuwa Wa ovyo ovyo sana
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,356 Monaco 2-0 Borussia Dortmund (5-2)
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,357 Barca wataujua ukuta wa kitaliano ukoje
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,358 Dakika ya 31 Barca 0-0 Juve (0-3)
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Apr 19, 2017 #3,359 Rutashubanyuma said: Barca wataujua ukuta wa kitaliano ukoje Click to expand... heheheh had sasa tuko sahihi kwa kila kitu
Rutashubanyuma said: Barca wataujua ukuta wa kitaliano ukoje Click to expand... heheheh had sasa tuko sahihi kwa kila kitu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 19, 2017 #3,360 Barca wana mpira lakini uchezaji wake ni Kizungumkuti